2 Samweli 16:4
Ndipo mfalme akamwambia Siba, “Yote yaliyokuwa mali ya Mefiboshethi sasa ni mali yako.” Siba akasema, “Nasujudu kwa unyenyekevu. Naomba nipate kibali mbele yako, bwana wangu mfalme.” 1 Shimei Amlaani Daudi
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 19:15Shahidi mmoja hatoshi kumtia hatiani mtu kwa uhalifu au kosa lolote ambalo anaweza kuwa amelitenda. Lazima shauri lolote lithibitishwe kwa ushuhuda wa mashahidi wawili au watatu.
2 Samuel 14:4Huyo huyo mwanamke kutoka Tekoa alipofika kwa mfalme, akaanguka kifudifudi kumpa mfalme heshima, akasema, “Ee mfalme, nisaidie!”
2 Samuel 14:10Mfalme akajibu, “Ikiwa mtu yeyote atakusemesha lolote, mlete kwangu, naye hatakusumbua tena.”
Proverbs 18:13Yeye ajibuye kabla ya kusikiliza, 2 huo ni upumbavu wake na aibu yake. 1
Proverbs 19:2Sio vizuri kuwa na juhudi bila maarifa, 2 wala kufanya haraka na kuikosa njia. 1