2 Samweli 16:3
Kisha mfalme akauliza, “Yuko wapi mwana wa bwana wako?” Siba akamwambia, “Anakawia Yerusalemu, kwa sababu anafikiri, ‘Leo nyumba ya Israeli itanirudishia utawala wa baba yangu.’ ”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 20:16Usimshuhudie jirani yako uongo. 1
2 Samuel 9:9Ndipo mfalme akamwita Siba mtumishi wa Sauli na kumwambia, “Nimempa mwana wa bwana wako kila kitu kilichokuwa mali ya Sauli na jamaa yake.
2 Samuel 19:28Wazao wote wa baba yangu hawastahili kitu kingine isipokuwa kifo kutoka kwa bwana wangu mfalme, lakini ulimpa mtumishi wako nafasi miongoni mwa wale waliokula mezani pako. Je, ninayo haki gani kumwomba mfalme zaidi ya hayo?”
Psalms 88:18Umeniondolea marafiki na wapendwa wangu; 2 giza limekuwa ndilo rafiki yangu wa karibu kuliko wote.
Proverbs 1:19Huu ndio mwisho wa wote ambao wanajipatia mali kwa hila; 2 huuondoa uhai wa wale wenye mali. 1 Onyo Dhidi Ya Kukataa Hekima 1
Micah 7:5Usimtumaini jirani; 2 usiweke matumaini kwa rafiki. 1 Hata kwa yule alalaye kifuani mwako 2 uwe mwangalifu kwa maneno yako. 1