Proverbs 19:2
Sio vizuri kuwa na juhudi bila maarifa, 2 wala kufanya haraka na kuikosa njia. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Also, that the soul be without knowledge, it is not good; and he that hasteth with his feet sinneth.
In Context
3Upumbavu wa mtu mwenyewe huharibu maisha yake 2 hata hivyo moyo wake humkasirikia Bwana. 1
Cross References
Job 31:5“Kama nimeishi katika uongo 2 au mguu wangu umekimbilia udanganyifu, 1
Proverbs 10:21Midomo ya mwenye haki hulisha wengi, 2 lakini wapumbavu hufa kwa kukosa ufahamu. 1
Proverbs 21:5Mipango ya mwenye bidii huelekeza kwenye faida, 2 kama vile kwa hakika pupa huelekeza kwenye umaskini. 1
Proverbs 28:20Mtu mwaminifu atabarikiwa sana, 2 bali yeye atamaniye kupata utajiri kwa haraka 2 hataacha kuadhibiwa. 1
Proverbs 29:20Je, unamwona mtu azungumzaye kwa haraka? 2 Kuna matumaini zaidi kwa mpumbavu kuliko yeye. 1
Ecclesiastes 12:9Mhubiri hakuwa tu na hekima, bali aliwagawia watu maarifa pia. Alitafakari na kutafiti na akaweka katika utaratibu mithali nyingi.