The Bible Software
bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 17 › 2 Samweli 17:3

2 Samweli 17:3

na kuwarudisha watu wote kwako. Kifo cha mtu yule unayemtafuta kitamaanisha kurudi kwa wote, hakuna hata mtu mmoja atakayeumizwa.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And I will bring back all the people unto thee: the man whom thou seekest is as if all returned: so all the people shall be in peace.

In Context

2Nitamshambulia wakati akiwa amechoka na ni dhaifu. Nitampiga na hofu, na kisha watu wote walio pamoja naye watakimbia. Nitampiga mfalme peke yake

4Mpango huu ulionekana mzuri kwa Absalomu na kwa wazee wote wa Israeli.

Read all of 2 Samweli 17

Cross References

Isaiah 48:22“Hakuna amani kwa waovu,” asema Bwana.

1 Thessalonians 5:3Wakati watu wanaposema, “Kuna amani na salama,” maangamizi huwajia ghafula, kama vile utungu umjiavyo mwanamke mwenye mimba; nao hakika hawatatoroka.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Samweli 17:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Samweli 17:22 Samweli 172 Samweli 17:4 →