Isaiah 48:22
“Hakuna amani kwa waovu,” asema Bwana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
There is no peace, saith the LORD, unto the wicked.
In Context
Cross References
2 Kings 9:19Basi mfalme akamtuma mpanda farasi wa pili. Wakati alipowafikia akasema, “Hivi ndivyo asemavyo mfalme, ‘Je, mmekuja kwa amani?’ ” Yehu akajibu, “Una nini na amani? Unga msafara nyuma yangu.”
Isaiah 57:20Bali waovu ni kama bahari ichafukayo, 2 ambayo haiwezi kutulia, 2 mawimbi yake hutupa takataka na matope. 1
Isaiah 66:24“Nao watatoka nje na kuona maiti za wale walioniasi mimi. Funza wao hawatakufa, wala moto wao hautazimika, nao watakuwa kitu cha kuchukiza sana kwa wanadamu wote.”
Romans 3:17wala njia ya amani hawaijui.” 2