2 Samweli 18:5
Mfalme akawaamuru Yoabu, Abishai na Itai, “Kuweni wapole kwa kijana Absalomu kwa ajili yangu.” Vikosi vyote vikasikia mfalme akitoa amri kwa kila jemadari kumhusu Absalomu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 21:18Kama mtu ana mwana mkaidi na mwasi ambaye hamtii baba yake na mama yake, na hasikii wazazi wanapomrudi,
2 Samuel 17:1Ahithofeli akamwambia Absalomu, “Nipe ruhusa niwachague watu kumi na mbili elfu na waanze safari usiku huu huu kumfuatia Daudi.
2 Samuel 18:12Lakini huyo mtu akamjibu Yoabu, “Hata kama ningepimiwa shekeli 1,000 + 18:12 Shekeli 1,000 za fedha ni sawa na kilo 11.5. mikononi mwangu, nisingeinua mkono wangu dhidi ya mwana wa mfalme. Tukiwa tunasikia, mfalme alikuagiza wewe na Abishai pamoja na Itai, akisema, ‘Mlindeni kijana Absalomu kwa ajili yangu.’
Psalms 103:13Kama baba alivyo na huruma kwa watoto wake, 2 ndivyo Bwana anavyowahurumia wale wanaomcha; 1