Deuteronomy 21:18
Kama mtu ana mwana mkaidi na mwasi ambaye hamtii baba yake na mama yake, na hasikii wazazi wanapomrudi,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
19baba yake na mama yake watamleta kwa wazee kwenye lango la mji wake.
Cross References
Exodus 21:15“Yeyote amshambuliaye baba yake au mama yake ni lazima auawe.
Leviticus 19:3“ ‘Kila mmoja wenu ni lazima amheshimu mama yake na baba yake, na pia ni lazima kuzishika Sabato zangu. Mimi ndimi Bwana Mungu wenu.
Deuteronomy 8:5Mjue basi ndani ya mioyo yenu kama mtu anavyomwadibisha mwanawe, ndivyo Bwana Mungu wako atawaadibisha ninyi.
2 Samuel 7:14Nitakuwa baba yake, naye atakuwa mwanangu. Atakapokosea nitamwadhibu kwa fimbo ya wanadamu, kwa adhabu ya kupigwa na wanadamu.
Proverbs 13:24Yeye aizuiaye fimbo yake hampendi mwanawe, 2 bali yeye ampendaye 2 huwa mwangalifu kumwadibisha. 1
Proverbs 19:18Mrudi mwanao, kwa maana katika hiyo kuna tumaini, 2 usiwe mshirika katika mauti yake. 1