The Bible Software
bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 19 › 2 Samweli 19:20

2 Samweli 19:20

Kwa maana mimi mtumishi wako najua nimefanya dhambi, lakini leo nimekuja hapa kama wa kwanza wa nyumba yote ya Yosefu kushuka na kumlaki bwana wangu mfalme.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For thy servant doth know that I have sinned: therefore, behold, I am come the first this day of all the house of Joseph to go down to meet my lord the king.

In Context

19na kumwambia, “Bwana wangu na asinihesabie hatia. Usikumbuke jinsi mtumishi wako alivyofanya kosa siku ile bwana wangu mfalme alipoondoka Yerusalemu. Mfalme aliondoe moyoni mwake.

21Ndipo Abishai mwana wa Seruya akasema, “Je, Shimei hapaswi kuuawa kwa ajili ya hili? Alimlaani mpakwa mafuta wa Bwana.”

Read all of 2 Samweli 19

Cross References

Genesis 48:20Akawabarikia siku ile na kusema, 1 “Kwa jina lenu Israeli watatamka baraka hii: 2 ‘Mungu na awafanye kama Efraimu na Manase.’ ” Kwa hiyo akamtanguliza Efraimu mbele ya Manase.

2 Samuel 19:9Katika makabila yote ya Israeli, watu walikuwa wanabishana wao kwa wao, wakisema, “Mfalme alituokoa kutoka mikononi mwa adui zetu; ndiye alituokoa kutoka mikononi mwa Wafilisti. Lakini sasa mfalme ameikimbia nchi kwa sababu ya Absalomu,

1 Kings 12:25Kisha Yeroboamu akajenga Shekemu akaizungushia ngome katika nchi ya vilima ya Efraimu na akaishi huko. Akatoka huko, akaenda akajenga Penueli. + 12:25 Jina lingine ni Penieli kwa Kiebrania.

Jeremiah 22:23Wewe uishiye Lebanoni, 2 wewe uliyetulia kwenye majengo ya mierezi, 1 tazama jinsi utakavyoomboleza 2 maumivu makali yatakapokupata, 1 maumivu kama yale ya mwanamke 2 mwenye utungu wa kuzaa!

Hosea 5:3Ninajua yote kuhusu Efraimu, 2 Israeli hukufichika kwangu. 1 Efraimu, sasa umegeukia ukahaba, 2 Israeli amenajisika. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Samweli 19:20

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Samweli 19:192 Samweli 192 Samweli 19:21 →