The Bible Software
bible.softwareHoseaHosea 5 › Hosea 5:3

Hosea 5:3

Ninajua yote kuhusu Efraimu, 2 Israeli hukufichika kwangu. 1 Efraimu, sasa umegeukia ukahaba, 2 Israeli amenajisika. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

I know Ephraim, and Israel is not hid from me: for now, O Ephraim, thou committest whoredom, and Israel is defiled.

In Context

2Waasi wamezidisha sana mauaji. 2 Mimi nitawatiisha wote. 1

4“Matendo yao hayawaachii 2 kurudi kwa Mungu wao. 1 Roho ya ukahaba imo ndani ya mioyo yao, 2 hawamkubali Bwana. 1

Read all of Hosea 5

Cross References

Genesis 48:19Lakini baba yake akakataa, akasema, “Ninajua, mwanangu, ninajua. Yeye pia atakuwa taifa, naye pia atakuwa mkuu. Hata hivyo, ndugu yake mdogo atakuwa mkuu kuliko yeye, nao wazao wake watakuwa kundi la mataifa.”

1 Kings 12:26Yeroboamu akawaza moyoni mwake, “Sasa inawezekana ufalme ukarudi katika nyumba ya Daudi.

Isaiah 7:5Aramu, Efraimu na mwana wa Remalia wamepanga shauri baya ili wakuangamize, wakisema,

Isaiah 7:17Bwana ataleta juu yako, juu ya watu wako, na juu ya nyumba ya baba yako wakati ambao haujawahi kuwako tangu Efraimu alipojitenga na Yuda: yeye atawaleteeni mfalme wa Ashuru.”

Hosea 1:2Wakati Bwana alipoanza kuzungumza kupitia Hosea, Bwana alimwambia, “Nenda ukajitwalie mwanamke wa uzinzi na watoto wa uzinzi, kwa sababu nchi ina hatia ya uzinzi wa kupindukia kwa kumwacha Bwana.”

Hosea 5:9Efraimu ataachwa ukiwa 2 katika siku ya kuadhibiwa. 1 Miongoni mwa makabila ya Israeli 2 ninatangaza lile ambalo halina budi kutukia. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Hosea 5:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Hosea 5:2Hosea 5Hosea 5:4 →