The Bible Software
bible.software2 Samweli2 Samweli 2 › 2 Samweli 2:26

2 Samweli 2:26

Abneri akamwita Yoabu, akamwambia, “Je, ni lazima upanga uendelee kuangamiza milele? Hutambui kwamba jambo hili litaishia katika uchungu? Utaacha kuwaagiza watu wako waache kuwafuatilia ndugu zao hata lini?”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Then Abner called to Joab, and said, Shall the sword devour for ever? knowest thou not that it will be bitterness in the latter end? how long shall it be then, ere thou bid the people return from following their brethren?

In Context

25Ndipo watu wa kabila la Benyamini wakakusanyika tena nyuma ya Abneri. Wakaunda kikosi na kujiimarisha juu ya kilima.

27Yoabu akajibu, “Hakika kama aishivyo Mungu, kama hukusema, hawa watu wangeendelea kuwafuatia ndugu zao mpaka asubuhi.”

Read all of 2 Samweli 2

Cross References

2 Samuel 2:14Ndipo Abneri akamwambia Yoabu, “Tuwaweke baadhi ya vijana wasimame na wapigane ana kwa ana mbele yetu.” Yoabu akasema, “Sawa, na wafanye hivyo.”

2 Samuel 11:25Daudi akamwambia mjumbe, “Ukamwambie Yoabu hivi, ‘Jambo hili lisikutie wasiwasi, upanga hula huyu sawa na ulavyo mwingine. Zidisha mashambulizi dhidi ya mji na uangamize.’ Mwambie Yoabu hivi ili kumtia moyo.”

Job 19:2“Je, mtaendelea kunitesa mpaka lini, 2 na kuniponda kwa maneno yenu? 1

Proverbs 17:14Kuanzisha ugomvi ni kama kutoboa bwawa la maji; 2 kwa hiyo acha jambo hilo kabla mabishano hayajaanza. 1

Jeremiah 2:30“Nimeadhibu watu wako bure tu, 2 hawakujirekebisha. 1 Upanga wako umewala manabii wako 2 kama simba mwenye njaa.

Jeremiah 12:12Juu ya miinuko yote ilivyo kama jangwani 2 mharabu atajaa, 1 kwa maana upanga wa Bwana utawala, 2 kuanzia ncha moja ya nchi hadi nyingine; 2 hakuna hata mmoja atakayekuwa salama. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Samweli 2:26

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Samweli 2:252 Samweli 22 Samweli 2:27 →