The Bible Software
bible.softwareJobJob 19 › Job 19:2

Job 19:2

“Je, mtaendelea kunitesa mpaka lini, 2 na kuniponda kwa maneno yenu? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

How long will ye vex my soul, and break me in pieces with words?

In Context

1Ndipo Ayubu akajibu: 1

3Mara kumi hizi mmenishutumu; 2 bila aibu mnanishambulia. 1

Read all of Job 19

Cross References

Judges 16:16Hatimaye, baada ya kuwa anamsumbua kwa maneno siku kwa siku na kumuudhi, roho yake ikataabika hata kufa.

Job 18:2“Je, ni lini utafika mwisho wa maneno haya? 2 Uwe mwenye busara, nasi ndipo tutakapoweza kuongea. 1

Job 27:12Ninyi nyote mmeona hili wenyewe. 2 Ni ya nini basi mazungumzo haya yasiyo na maana? 1

Psalms 13:1Mpaka lini, Ee Bwana? Je, utanisahau milele? 2 Utanificha uso wako mpaka lini? 1

Psalms 55:21Mazungumzo yake ni laini kama siagi, 2 hata hivyo vita vimo moyoni mwake. 1 Maneno yake ni mororo kuliko mafuta, 2 hata hivyo ni upanga mkali uliofutwa. 1

Psalms 64:3Wananoa ndimi zao kama panga 2 na kuelekeza maneno yao kama mishale ya kufisha. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Job 19:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Job 19:1Job 19Job 19:3 →