2 Samweli 2:9
Akamweka awe mfalme juu ya nchi ya Gileadi, Waasheri, + 2:9 Waasheri hapa ni kabila moja la Israeli. Yezreeli, Efraimu, Benyamini na Israeli yote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 30:13Ndipo Lea aliposema, “Jinsi gani nilivyo na furaha! Wanawake wataniita furaha.” Kwa hiyo akamwita Asheri. + 30:13 Asheri maana yake Nimefurahi, yaani Mungu amenifurahisha.
Numbers 32:1Kabila la Wareubeni na Wagadi, waliokuwa na makundi makubwa ya ngʼombe, kondoo na mbuzi, waliona kuwa nchi ya Yazeri na nchi ya Gileadi ni nzuri kwa mifugo.
Joshua 16:5Hili ndilo lilikuwa eneo la Efraimu, ukoo kwa ukoo: 1 Mpaka wa urithi wao ulianzia Ataroth-Adari upande wa mashariki hadi Beth-Horoni ya Juu,
Joshua 16:9Pia ulijumuisha miji yote na vijiji vyake ambavyo vilitengwa kwa ajili ya Waefraimu ndani ya urithi wa kabila la Manase.
Joshua 18:11Kura iliangukia kabila la Benyamini, ukoo kwa ukoo. Eneo lao walilogawiwa lilikuwa kati ya kabila la Yuda na la Yosefu. 1
Joshua 19:18Eneo lao lilijumuisha: 1 Yezreeli, Kesulothi, Shunemu,