Numbers 32:1
Kabila la Wareubeni na Wagadi, waliokuwa na makundi makubwa ya ngʼombe, kondoo na mbuzi, waliona kuwa nchi ya Yazeri na nchi ya Gileadi ni nzuri kwa mifugo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2Hivyo walimjia Mose, na kuhani Eleazari na viongozi wa jumuiya, na kuwaambia,
Cross References
Genesis 13:2Wakati huo Abramu alikuwa tajiri sana wa mifugo, fedha na dhahabu.
Genesis 13:10Loti akatazama akaona lile bonde lote la Yordani kuwa lilikuwa na maji tele, kama bustani ya Bwana, kama nchi ya Misri, kuelekea Soari. (Hii ilikuwa kabla Bwana hajaharibu Sodoma na Gomora.)
Genesis 30:10Mtumishi wa Lea yaani Zilpa, akamzalia Yakobo mwana.
Exodus 12:38Watu wengine wengi wakafuatana nao, pamoja na makundi makubwa ya mifugo wakiwemo kondoo, mbuzi na ngʼombe.
Numbers 21:32Baada ya Mose kutuma wapelelezi kwenda mji wa Yazeri, Waisraeli waliteka viunga vya mji huo na kuwafukuza Waamori waliokuwa wanaishi huko.
Numbers 26:15Wazao wa Gadi kwa koo zao walikuwa: 1 kutoka kwa Sifoni, ukoo wa Wasifoni; 1 kutoka kwa Hagi, ukoo wa Wahagi; 1 kutoka kwa Shuni, ukoo wa Washuni; 1