bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 20 › 2 Samweli 20:2
2 Samweli 20:2
Kwa hiyo watu wote wa Israeli wakamwacha Daudi na kumfuata Sheba mwana Bikri. Lakini watu wa Yuda wakawa karibu na mfalme wao katika safari yote kutoka Yordani mpaka Yerusalemu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
So every man of Israel went up from after David, and followed Sheba the son of Bichri: but the men of Judah clave unto their king, from Jordan even to Jerusalem.
In Context
1Basi, kulikuwa na mtu mbaya sana aliyeitwa Sheba mwana wa Bikri, Mbenyamini, aliyekuwako huko. Akapiga tarumbeta na kupaza sauti, 1 “Hatuna fungu katika Daudi, 2 wala hatuna sehemu 2 katika mwana wa Yese! 1 Kila mtu aende hemani mwake, 2 enyi Israeli!”
3Daudi aliporudi katika jumba lake la kifalme huko Yerusalemu, aliwachukua wale masuria kumi aliokuwa amewaacha ili kuangalia jumba la kifalme na kuwaweka ndani ya nyumba chini ya ulinzi. Akawapa mahitaji yao lakini hakukutana nao kimwili. Waliwekwa kifungoni wakaishi kama wajane mpaka kifo chao.
Read all of 2 Samweli 20
Cross References
2 Samuel 19:40Mfalme alipovuka kwenda Gilgali, Kimhamu akavuka pamoja naye. Vikosi vyote vya Yuda na nusu ya vikosi vya Israeli vilimvusha mfalme.
2 Chronicles 10:17Lakini kwa habari ya Waisraeli waliokuwa wakiishi katika miji ya Yuda, Rehoboamu akaendelea kuwatawala bado.
Psalms 118:8Ni bora kumkimbilia Bwana 2 kuliko kumtumainia mwanadamu. 1
John 6:66Tangu wakati huo wafuasi wake wengi wakarejea nyuma wakaacha kumfuata.
This Verse In Other Editions
Study 2 Samweli 20:2