2 Samweli 8:1
Baada ya muda, Daudi akawashinda Wafilisti na kuwatiisha, naye akautwaa Metheg-Amma kutoka mikononi mwa Wafilisti.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Samuel 2:24Lakini Yoabu na Abishai walimfuata Abneri, na jua lilipokuwa linatua, wakafika kwenye kilima cha Ama, karibu na Gia kwenye njia ya kuelekea kwenye nyika ya Gibeoni.
2 Samuel 5:25Basi Daudi akafanya kama Bwana alivyomwagiza, naye akawaangusha Wafilisti njia yote kuanzia Geba + 5:25 Kwa Kiebrania mji huu uliitwa Gibeoni (ona 1Nya 14:16 ). hadi Gezeri.
2 Samuel 21:15Kwa mara nyingine tena kulikuwa na vita kati ya Wafilisti na Israeli. Daudi akashuka pamoja na watu wake ili kupigana dhidi ya Wafilisti, naye akawa amechoka sana.
Psalms 60:2Umetetemesha nchi na kuipasua; 2 uiponye mavunjiko yake, kwa maana inatetemeka. 1