2 Samweli 22:16
Mabonde ya bahari yalifunuliwa, 2 na misingi ya dunia ikawa wazi 1 kwa kukaripia kwake Bwana, 2 kwa uvumi wa pumzi kutoka puani mwake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
15Aliipiga mishale na kutawanya adui, 2 umeme wa radi na kuwafukuza. 1
17“Alinyoosha mkono kutoka juu na kunishika; 2 alinitoa kutoka kilindi cha maji makuu. 1
Cross References
Exodus 15:8Kwa pumzi ya pua zako 2 maji yalijilundika. 1 Mawimbi ya maji yakasimama imara kama ukuta, 2 vilindi vikagandamana ndani ya moyo wa bahari. 1
Job 38:11niliposema, ‘Unaweza kufika mpaka hapa wala si zaidi; 2 hapa ndipo mawimbi yako yenye kiburi yatakapokomea’? 1
Psalms 74:1Ee Mungu, mbona umetukataa milele? 2 Mbona hasira yako inatoka moshi 2 juu ya kondoo wa malisho yako? 1
Psalms 114:3Bahari ilitazama ikakimbia, 2 Yordani ulirudi nyuma, 1
Habakkuk 3:8Ee Bwana, uliikasirikia mito? 2 Je, ghadhabu yako ilikuwa dhidi ya vijito? 1 Je, ulighadhibikia bahari 2 ulipoendesha farasi wako 2 na magari yako ya ushindi? 1