2 Samweli 22:17
“Alinyoosha mkono kutoka juu na kunishika; 2 alinitoa kutoka kilindi cha maji makuu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He sent from above, he took me; he drew me out of many waters;
In Context
Cross References
Exodus 2:10Mtoto alipokua, akampeleka kwa binti Farao, naye akawa mwanawe. Akamwita jina lake Mose akisema, “Nilimtoa kwenye maji.” 1 Mose Akimbilia Midiani
Psalms 32:6Kwa hiyo kila mtu mcha Mungu akuombe 2 wakati unapopatikana, 1 hakika maji makuu yatakapofurika 2 hayatamfikia yeye. 1
Psalms 93:3Bahari zimeinua, Ee Bwana, 2 bahari zimeinua sauti zake; 2 bahari zimeinua sauti za mawimbi yake. 1
Psalms 130:1Kutoka vilindini ninakulilia, Ee Bwana. 2
Isaiah 43:2Unapopita kwenye maji makuu, 2 nitakuwa pamoja nawe, 1 unapopita katika mito ya maji, 2 hayatakugharikisha. 1 Utakapopita katika moto, 2 hutaungua, 2 miali ya moto haitakuunguza. 1
Revelation 17:15Kisha yule malaika akaniambia, “Yale maji uliyoyaona yule kahaba akiwa ameketi juu yake ni jamaa, makutano, mataifa na lugha.