2 Samweli 22:18
Aliniokoa kutoka adui wangu mwenye nguvu nyingi, 2 kutoka adui zangu waliokuwa na nguvu nyingi kuliko mimi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He delivered me from my strong enemy, and from them that hated me: for they were too strong for me.
In Context
17“Alinyoosha mkono kutoka juu na kunishika; 2 alinitoa kutoka kilindi cha maji makuu. 1
19Walinikabili siku ya msiba wangu, 2 lakini Bwana alikuwa msaada wangu. 1
Cross References
Psalms 3:7Ee Bwana, amka! 2 Niokoe, Ee Mungu wangu! 1 Wapige adui zangu wote kwenye taya, 2 vunja meno ya waovu. 1
Psalms 56:9Ndipo adui zangu watarudi nyuma 2 ninapoita msaada. 1 Kwa hili nitajua kwamba Mungu 2 yuko upande wangu. 1
2 Timothy 4:17Lakini Bwana alisimama upande wangu akanitia nguvu, ili kupitia kwangu lile Neno lihubiriwe kwa ukamilifu, watu wote Mataifa wapate kulisikia. Mimi niliokolewa kutoka kinywa cha simba.