The Bible Software
bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 22 › 2 Samweli 22:19

2 Samweli 22:19

Walinikabili siku ya msiba wangu, 2 lakini Bwana alikuwa msaada wangu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

They prevented me in the day of my calamity: but the LORD was my stay.

In Context

18Aliniokoa kutoka adui wangu mwenye nguvu nyingi, 2 kutoka adui zangu waliokuwa na nguvu nyingi kuliko mimi. 1

20Alinileta nje mahali penye nafasi tele, 2 akaniokoa kwa kuwa alipendezwa nami. 1

Read all of 2 Samweli 22

Cross References

1 Samuel 23:26Sauli alikuwa akienda upande mmoja wa mlima, naye Daudi na watu wake walikuwa upande mwingine wa mlima, wakiharakisha kumkimbia Sauli. Wakati Sauli na majeshi yake walipokaribia kumkamata Daudi na watu wake,

Psalms 18:18Walinikabili siku ya msiba wangu, 2 lakini Bwana alikuwa msaada wangu. 1

Psalms 71:20Ingawa umenifanya nipate taabu, nyingi na chungu, 2 utanihuisha tena, 1 kutoka vilindi vya dunia 2 utaniinua tena. 1

Isaiah 26:19Lakini wafu wenu wataishi, 2 nayo miili yao itafufuka. 1 Ninyi mnaokaa katika mavumbi, 2 amkeni mkapige kelele kwa furaha. 1 Umande wenu ni kama umande wa asubuhi, 2 dunia itawazaa wafu wake. 1

Isaiah 50:10Ni nani miongoni mwenu amchaye Bwana, 2 na kulitii neno la mtumishi wake? 1 Yeye atembeaye gizani, 2 yeye asiye na nuru, 1 na alitumainie jina la Bwana, 2 na amtegemee Mungu wake. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Samweli 22:19

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Samweli 22:182 Samweli 222 Samweli 22:20 →