2 Samweli 22:26
“Kwa yeye aliye mwaminifu unajionyesha kuwa mwaminifu, 2 kwa asiye na hatia unajionyesha kutokuwa na hatia, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
25Bwana amenilipa sawasawa na uadilifu wangu, 2 sawasawa na usafi wangu machoni pake. 1
Cross References
Matthew 5:7Heri wenye huruma, 2 maana hao watapata rehema. 1