The Bible Software
bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 22 › 2 Samweli 22:27

2 Samweli 22:27

kwa aliye mtakatifu unajionyesha kuwa mtakatifu, 2 lakini kwa aliyepotoka unajionyesha kuwa mkaidi. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

With the pure thou wilt shew thyself pure; and with the froward thou wilt shew thyself unsavoury.

In Context

26“Kwa yeye aliye mwaminifu unajionyesha kuwa mwaminifu, 2 kwa asiye na hatia unajionyesha kutokuwa na hatia, 1

28Wewe huwaokoa wanyenyekevu, 2 lakini macho yako ni juu ya wenye kiburi 2 ili uwashushe. 1

Read all of 2 Samweli 22

Cross References

Exodus 18:11Sasa najua ya kuwa Bwana ni mkuu kuliko miungu mingine yote, kwa kuwa amewatendea hivi wale waliowatenda Israeli kwa ujeuri.”

Leviticus 26:24mimi mwenyewe nitaweka uadui nanyi, na kuwatesa kwa ajili ya dhambi zenu mara saba zaidi.

Psalms 18:26Kwa aliye mtakatifu, unajionyesha kuwa mtakatifu, 2 lakini kwa aliyepotoka, unajionyesha kuwa mkaidi. 1

Isaiah 45:9“Ole wake yeye ashindanaye na Muumba wake, 2 yeye ambaye ni kigae tu kati ya vigae juu ya ardhi. 1 Je, udongo wa kufinyangia humwambia mfinyanzi, 2 ‘Unatengeneza nini wewe?’ 2 Je, kazi yako husema, 1 ‘Hana mikono’? 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Samweli 22:27

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Samweli 22:262 Samweli 222 Samweli 22:28 →