The Bible Software
bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 22 › 2 Samweli 22:28

2 Samweli 22:28

Wewe huwaokoa wanyenyekevu, 2 lakini macho yako ni juu ya wenye kiburi 2 ili uwashushe. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the afflicted people thou wilt save: but thine eyes are upon the haughty, that thou mayest bring them down.

In Context

27kwa aliye mtakatifu unajionyesha kuwa mtakatifu, 2 lakini kwa aliyepotoka unajionyesha kuwa mkaidi. 1

29Wewe ni taa yangu, Ee Bwana. 2 Bwana hulifanya giza langu 2 kuwa mwanga. 1

Read all of 2 Samweli 22

Cross References

Exodus 3:7Bwana akamwambia, “Hakika nimeona mateso ya watu wangu katika Misri. Nimesikia kilio chao kwa sababu ya wasimamizi wao, nami naguswa na mateso yao.

Exodus 10:3Kwa hiyo Mose na Aroni wakaenda kwa Farao na kumwambia, “Hili ndilo Bwana, Mungu wa Waebrania, asemalo: ‘Utaendelea hata lini kukataa kunyenyekea mbele yangu? Waachie watu wangu waende, ili wapate kuniabudu.

Job 40:11Fungulia ukali wa ghadhabu yako, 2 mtafute kila mwenye kiburi umshushe, 1

Psalms 72:12Kwa maana atamwokoa mhitaji anayemlilia, 2 aliyeonewa asiye na wa kumsaidia. 1

Psalms 140:12Najua kwamba Bwana huwapatia maskini haki, 2 na kuitegemeza njia ya mhitaji. 1

Isaiah 2:11Macho ya mtu mwenye majivuno yatanyenyekezwa 2 na kiburi cha wanadamu kitashushwa, 1 Bwana peke yake ndiye atakayetukuzwa siku hiyo. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Samweli 22:28

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Samweli 22:272 Samweli 222 Samweli 22:29 →