The Bible Software
bible.software2 Samweli2 Samweli 22 › 2 Samweli 22:3

2 Samweli 22:3

Mungu wangu ni mwamba wangu, 2 ambaye kwake ninakimbilia, 2 ngao yangu na pembe ya wokovu wangu. 1 Yeye ni ngome yangu, kimbilio langu 2 na mwokozi wangu, 2 huniokoa kutoka kwa watu wenye jeuri. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The God of my rock; in him will I trust: he is my shield, and the horn of my salvation, my high tower, and my refuge, my saviour; thou savest me from violence.

In Context

2Akasema: 1 “ Bwana ni mwamba wangu, 2 ngome yangu na mwokozi wangu, 1

4Ninamwita Bwana, anayestahili kusifiwa, 2 nami ninaokolewa kutoka kwa adui zangu. 1

Read all of 2 Samweli 22

Cross References

Genesis 15:1Baada ya jambo hili, neno la Bwana likamjia Abramu katika maono: 1 “Usiogope, Abramu. 2 Mimi ni ngao yako, 2 na thawabu yako kubwa sana.”

Deuteronomy 32:37Atasema: “Sasa iko wapi miungu yao, 2 mwamba walioukimbilia, 1

1 Samuel 2:1Kisha Hana akaomba na kusema: 1 “Moyo wangu wamshangilia Bwana, 2 katika Bwana pembe yangu imeinuliwa juu. 1 Kinywa changu chajisifu juu ya adui zangu, 2 kwa kuwa naufurahia wokovu wako. 1

2 Samuel 22:51Humpa mfalme wake ushindi mkuu; 2 huonyesha fadhili zake kwa mpakwa mafuta wake, 2 kwa Daudi na wazao wake milele.”

Psalms 5:12Kwa hakika, Ee Bwana, unawabariki wenye haki, 2 unawazunguka kwa wema wako kama ngao.

Psalms 9:10Wote wanaolijua jina lako watakutumaini wewe, 2 kwa maana wewe Bwana, 2 hujawaacha kamwe wakutafutao. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Samweli 22:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Samweli 22:22 Samweli 222 Samweli 22:4 →