The Bible Software
bible.software2 Samweli2 Samweli 22 › 2 Samweli 22:4

2 Samweli 22:4

Ninamwita Bwana, anayestahili kusifiwa, 2 nami ninaokolewa kutoka kwa adui zangu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

I will call on the LORD, who is worthy to be praised: so shall I be saved from mine enemies.

In Context

3Mungu wangu ni mwamba wangu, 2 ambaye kwake ninakimbilia, 2 ngao yangu na pembe ya wokovu wangu. 1 Yeye ni ngome yangu, kimbilio langu 2 na mwokozi wangu, 2 huniokoa kutoka kwa watu wenye jeuri. 1

5“Mawimbi ya mauti yalinizunguka, 2 mafuriko ya maangamizi yalinilemea. 1

Read all of 2 Samweli 22

Cross References

Nehemiah 9:5Nao Walawi Yeshua, Kadmieli, Bani, Hashabnea, Sherebia, Hodia, Shebania na Pethahia wakasema: “Simameni mkamsifu Bwana Mungu wenu, yeye ambaye ni Mungu tangu milele hata milele. “Libarikiwe jina lake tukufu, litukuzwe juu ya baraka zote na sifa.

Psalms 34:6Maskini huyu alimwita Bwana, naye akamsikia, 2 akamwokoa katika taabu zake zote. 1

Psalms 50:15na uniite siku ya taabu; 2 nami nitakuokoa, nawe utanitukuza.”

Psalms 56:9Ndipo adui zangu watarudi nyuma 2 ninapoita msaada. 1 Kwa hili nitajua kwamba Mungu 2 yuko upande wangu. 1

Psalms 66:2Imbeni utukufu wa jina lake; 2 mpeni sifa zake kwa utukufu! 1

Psalms 106:2Ni nani awezaye kusimulia matendo makuu ya Bwana 2 au kutangaza kikamilifu sifa zake? 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Samweli 22:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Samweli 22:32 Samweli 222 Samweli 22:5 →