2 Samweli 22:34
Huifanya miguu yangu kama miguu ya kulungu, 2 huniwezesha kusimama mahali palipo juu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He maketh my feet like hinds feet: and setteth me upon my high places.
In Context
33Mungu ndiye anivikaye nguvu 2 na kufanya njia yangu kuwa kamilifu. 1
35Huifundisha mikono yangu kupigana vita; 2 mikono yangu inaweza kupinda upinde wa shaba. 1
Cross References
Deuteronomy 32:13Akamfanya apande sehemu zilizoinuka za nchi, 2 akamlisha kwa mavuno ya mashamba. 1 Akamlea kwa asali toka mwambani, 2 na kwa mafuta kutoka mwamba mgumu, 1
2 Samuel 2:18Wana watatu wa Seruya walikuwako huko: nao ni Yoabu, Abishai na Asaheli. Basi huyo Asaheli alikuwa na mbio kama paa.
Isaiah 33:16huyu ndiye mtu atakayeishi mahali pa juu, 2 ambaye kimbilio lake litakuwa ngome ya mlimani. 1 Atapewa mkate wake, 2 na maji yake hayatakoma. 1
Habakkuk 3:19Bwana Mwenyezi ni nguvu yangu; 2 huifanya miguu yangu kama miguu ya ayala, 2 huniwezesha kupita juu ya vilima. 1 Kwa kiongozi wa uimbaji. Kwa vinanda vyangu vya nyuzi.