Deuteronomy 32:13
Akamfanya apande sehemu zilizoinuka za nchi, 2 akamlisha kwa mavuno ya mashamba. 1 Akamlea kwa asali toka mwambani, 2 na kwa mafuta kutoka mwamba mgumu, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12Bwana peke yake alimwongoza; 2 hakuwepo mungu mgeni pamoja naye. 1
Cross References
Deuteronomy 33:26“Hakuna mwingine kama Mungu wa Yeshuruni, 2 ambaye hupanda juu ya mbingu ili akusaidie, 2 na juu ya mawingu katika utukufu wake. 1
Job 29:6wakati njia yangu ilikuwa imenyweshewa siagi, 2 nao mwamba ukanimiminia vijito vya mafuta ya zeituni. 1
Isaiah 48:21Hawakuona kiu alipowaongoza kupita jangwani; 2 alifanya maji yatiririke kutoka kwenye mwamba kwa ajili yao; 1 akapasua mwamba 2 na maji yakatoka kwa nguvu. 1
Ezekiel 16:13Kwa hiyo ulipambwa kwa dhahabu na fedha, nguo zako zilikuwa za kitani safi, hariri na nguo iliyokuwa imetariziwa. Chakula chako kilikuwa unga laini, asali na mafuta ya zeituni. Ukawa mzuri sana ukainuka kuwa malkia.
Ezekiel 36:2Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Kwa sababu adui wanasema juu yako, “Aha! Mahali palipoinuka pa zamani pamekuwa milki yetu.” ’