The Bible Software
bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 22 › 2 Samweli 22:36

2 Samweli 22:36

Hunipa ngao yako ya ushindi, 2 unajishusha chini ili kuniinua. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Thou hast also given me the shield of thy salvation: and thy gentleness hath made me great.

In Context

35Huifundisha mikono yangu kupigana vita; 2 mikono yangu inaweza kupinda upinde wa shaba. 1

37Huyapanua mapito yangu, 2 ili miguu yangu isiteleze. 1

Read all of 2 Samweli 22

Cross References

Genesis 12:2“Mimi nitakufanya taifa kubwa 2 na nitakubariki, 1 Nitalikuza jina lako, 2 nawe utakuwa baraka. 1

Genesis 22:17hakika nitakubariki, na nitauzidisha uzao wako kama nyota za angani na kama mchanga ulioko pwani. Wazao wako watamiliki miji ya adui zao,

Psalms 84:11Kwa kuwa Bwana ni jua na ngao, 2 Bwana hutoa wema na heshima; 1 hakuna kitu chema anachowanyima 2 wale ambao hawana hatia. 1

Ephesians 6:16Zaidi ya haya yote, twaeni ngao ya imani, ambayo kwa hiyo mtaweza kuizima mishale yote yenye moto ya yule mwovu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Samweli 22:36

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Samweli 22:352 Samweli 222 Samweli 22:37 →