The Bible Software
bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 22 › 2 Samweli 22:5

2 Samweli 22:5

“Mawimbi ya mauti yalinizunguka, 2 mafuriko ya maangamizi yalinilemea. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

When the waves of death compassed me, the floods of ungodly men made me afraid;

In Context

4Ninamwita Bwana, anayestahili kusifiwa, 2 nami ninaokolewa kutoka kwa adui zangu. 1

6Kamba za kuzimu + 22:6 Kuzimu kwa Kiebrania ni Sheol, maana yake ni Shimo lisilo na mwisho. zilinizunguka, 2 mitego ya mauti ilinikabili. 1

Read all of 2 Samweli 22

Cross References

Psalms 42:8Mchana Bwana huelekeza upendo wake, 2 usiku wimbo wake uko nami: 2 maombi kwa Mungu wa uzima wangu. 1

Psalms 93:3Bahari zimeinua, Ee Bwana, 2 bahari zimeinua sauti zake; 2 bahari zimeinua sauti za mawimbi yake. 1

Jeremiah 46:7“Ni nani huyu ajiinuaye kama Mto Naili, 2 kama mito yenye maji yanayofanya mawimbi? 1

1 Thessalonians 5:3Wakati watu wanaposema, “Kuna amani na salama,” maangamizi huwajia ghafula, kama vile utungu umjiavyo mwanamke mwenye mimba; nao hakika hawatatoroka.

Revelation 17:1Mmoja wa wale malaika saba waliokuwa na yale mabakuli saba akaja akaniambia, “Njoo, nitakuonyesha adhabu ya yule kahaba mkuu, aketiye juu ya maji mengi.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Samweli 22:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Samweli 22:42 Samweli 222 Samweli 22:6 →