The Bible Software
bible.software2 Samuel2 Samuel 22 › 2 Samuel 22:49

2 Samuel 22:49

aniwekaye huru toka kwa adui zangu. 1 Uliniinua juu ya adui zangu; 2 uliniokoa toka kwa watu wajeuri. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And that bringeth me forth from mine enemies: thou also hast lifted me up on high above them that rose up against me: thou hast delivered me from the violent man.

In Context

48Yeye ndiye Mungu anilipiziaye kisasi, 2 ayawekaye mataifa chini yangu, 2

50Kwa hiyo nitakusifu, Ee Bwana, 2 katikati ya mataifa; 2 nitaliimbia sifa jina lako. 1

Read all of 2 Samuel 22

Cross References

Numbers 24:7Maji yatatiririka kutoka ndoo zake; 2 mbegu yake itakuwa na maji tele. 1 “Mfalme wake atakuwa mkuu kuliko Mfalme Agagi; 2 ufalme wake utatukuka. 1

1 Samuel 2:8Humwinua maskini kutoka mavumbini 2 na humwinua mhitaji kutoka lundo la majivu; 1 huwaketisha pamoja na wakuu 2 na kuwafanya warithi kiti cha enzi cha heshima. 1 “Kwa kuwa misingi ya dunia ni ya Bwana; 2 juu yake ameuweka ulimwengu. 1

2 Samuel 7:8“Sasa basi, mwambie mtumishi wangu Daudi, ‘Hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote: Nilikutoa wewe kutoka machungani na kutoka kuandama kundi la kondoo na mbuzi ili kuwaongoza watu wangu Israeli.

Psalms 18:48aniokoaye na adui zangu. 1 Uliniinua juu ya adui zangu; 2 uliniokoa toka kwa watu wajeuri. 1

Psalms 140:1Ee Bwana, niokoe, kutoka kwa watu waovu; 2 nilinde na watu wenye jeuri, 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Samuel 22:49

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Samuel 22:482 Samuel 222 Samuel 22:50 →