1 Samweli 2:8
Humwinua maskini kutoka mavumbini 2 na humwinua mhitaji kutoka lundo la majivu; 1 huwaketisha pamoja na wakuu 2 na kuwafanya warithi kiti cha enzi cha heshima. 1 “Kwa kuwa misingi ya dunia ni ya Bwana; 2 juu yake ameuweka ulimwengu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
7Bwana humfanya mtu maskini naye hutajirisha, 2 hushusha na hukweza. 1
Cross References
Genesis 41:40Wewe utakuwa msimamizi wa jumba langu la kifalme, na watu wangu wote watatii amri zako. Ni kuhusu kiti cha ufalme tu nitakuwa mkuu kuliko wewe.” 1 Yosefu Msimamizi Wa Misri
2 Samuel 7:8“Sasa basi, mwambie mtumishi wangu Daudi, ‘Hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote: Nilikutoa wewe kutoka machungani na kutoka kuandama kundi la kondoo na mbuzi ili kuwaongoza watu wangu Israeli.
Job 36:6Hawaachi waovu waendelee kuishi, 2 bali huwapa walioteswa haki yao. 1
Job 38:4“Ulikuwa wapi nilipoweka misingi ya dunia? 2 Niambie, kama unafahamu. 1
Job 38:6Je, misingi yake iliwekwa juu ya nini, 2 au ni nani aliyeweka jiwe la pembeni, 1
Psalms 24:2maana aliiwekea misingi yake baharini 2 na kuifanya imara juu ya maji. 1