Numbers 24:7
Maji yatatiririka kutoka ndoo zake; 2 mbegu yake itakuwa na maji tele. 1 “Mfalme wake atakuwa mkuu kuliko Mfalme Agagi; 2 ufalme wake utatukuka. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Samuel 15:32Ndipo Samweli akasema, “Niletee Agagi mfalme wa Waamaleki.” Agagi akaja kwake kwa ujasiri, akifikiri, “Hakika uchungu wa mauti umepita.”
1 Kings 4:21Mfalme Solomoni akatawala katika falme zote kuanzia Mto Frati hadi nchi ya Wafilisti, hadi kwenye mpaka wa Misri. Nchi hizi zilileta ushuru na zilikuwa chini ya Solomoni, siku zote za maisha yake.
1 Chronicles 14:2Naye Daudi akatambua kwamba Bwana amemwimarisha kuwa mfalme juu ya Israeli na kwamba ufalme wake umetukuzwa kwa ajili ya Israeli, watu wake.
Esther 3:1Baada ya matukio haya, Mfalme Ahasuero alimheshimu Hamani mwana wa Hamedatha, Mwagagi, akampandisha na kumpa kiti chake cha heshima cha juu sana kuliko wakuu wengine wote.
Psalms 18:43Umeniokoa kutokana na mashambulizi ya watu; 2 umenifanya kuwa kiongozi wa mataifa, 2 watu ambao sikuwajua wananitumikia. 1
Psalms 72:11Wafalme wote watamsujudia 2 na mataifa yote yatamtumikia. 1