The Bible Software
bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 22 › 2 Samweli 22:7

2 Samweli 22:7

Katika shida yangu nalimwita Bwana, 2 nilimlilia Mungu wangu. 1 Kutoka Hekaluni mwake alisikia sauti yangu, 2 kilio changu kikafika masikioni mwake. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

In my distress I called upon the LORD, and cried to my God: and he did hear my voice out of his temple, and my cry did enter into his ears.

In Context

6Kamba za kuzimu + 22:6 Kuzimu kwa Kiebrania ni Sheol, maana yake ni Shimo lisilo na mwisho. zilinizunguka, 2 mitego ya mauti ilinikabili. 1

8“Dunia ilitetemeka na kutikisika, 2 misingi ya mbingu ikatikisika, 1 vilitetemeka kwa sababu 2 alikuwa amekasirika. 1

Read all of 2 Samweli 22

Cross References

1 Kings 8:28Hata hivyo sikiliza dua ya mtumishi wako na maombi yake kwa huruma, Ee Bwana Mungu wangu. Sikia kilio na dua ambayo mtumishi wako anaomba mbele zako siku hii ya leo.

Psalms 27:4Jambo moja ninamwomba Bwana, 2 hili ndilo ninalolitafuta: 1 niweze kukaa nyumbani mwa Bwana 2 siku zote za maisha yangu, 1 niutazame uzuri wa Bwana 2 na kumtafuta hekaluni mwake. 1

Psalms 34:15Macho ya Bwana huwaelekea wenye haki, 2 na masikio yake yako makini kusikiliza kilio chao. 1

Psalms 116:4Ndipo nikaliitia jina la Bwana: 2 “Ee Bwana, niokoe!” 1

Jonah 2:4Nikasema, ‘Nimefukuziwa 2 mbali na uso wako, 1 hata hivyo nitatazama tena 2 kuelekea Hekalu lako takatifu.’ 1

Habakkuk 2:20Lakini Bwana yuko katika Hekalu lake takatifu; 2 dunia yote na inyamaze mbele yake.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Samweli 22:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Samweli 22:62 Samweli 222 Samweli 22:8 →