2 Samweli 22:8
“Dunia ilitetemeka na kutikisika, 2 misingi ya mbingu ikatikisika, 1 vilitetemeka kwa sababu 2 alikuwa amekasirika. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then the earth shook and trembled; the foundations of heaven moved and shook, because he was wroth.
In Context
Cross References
2 Samuel 23:7Yeyote agusaye miiba 2 hutumia chombo cha chuma 2 au mpini wa mkuki, 2 nayo huchomwa pale ilipo.” 1 Mashujaa Wa Daudi (1 Nyakati 11:10-41)
Psalms 18:7Dunia ilitetemeka na kutikisika, 2 misingi ya milima ikatikisika, 2 vilitetemeka kwa sababu alikuwa amekasirika. 1
Psalms 77:19Njia yako ilipita baharini, 2 mapito yako kwenye maji makuu, 2 ingawa nyayo zako hazikuonekana. 1
Nahum 1:5Milima hutikisika mbele yake 2 na vilima huyeyuka. 1 Nchi hutetemeka mbele yake, 2 dunia na wote waishio ndani yake. 1
Matthew 27:51Wakati huo huo pazia la Hekalu likachanika vipande viwili, kuanzia juu hadi chini. Dunia ikatetemeka na miamba ikapasuka.
Acts 4:31Walipokwisha kuomba, mahali walipokuwa wamekutanika pakatikiswa, wote wakajazwa na Roho Mtakatifu, wakanena neno la Mungu kwa ujasiri. 1 Walioamini Washirikiana Mali Zao