The Bible Software
bible.software2 Samweli2 Samweli 22 › 2 Samweli 22:6

2 Samweli 22:6

Kamba za kuzimu + 22:6 Kuzimu kwa Kiebrania ni Sheol, maana yake ni Shimo lisilo na mwisho. zilinizunguka, 2 mitego ya mauti ilinikabili. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The sorrows of hell compassed me about; the snares of death prevented me;

In Context

5“Mawimbi ya mauti yalinizunguka, 2 mafuriko ya maangamizi yalinilemea. 1

7Katika shida yangu nalimwita Bwana, 2 nilimlilia Mungu wangu. 1 Kutoka Hekaluni mwake alisikia sauti yangu, 2 kilio changu kikafika masikioni mwake. 1

Read all of 2 Samweli 22

Cross References

Job 36:8Lakini ikiwa watu wamefungwa kwenye minyororo, 2 wakiwa wameshikiliwa na kamba za mateso, 1

Psalms 116:3Kamba za mauti zilinizunguka, 2 maumivu makuu ya kuzimu yalinipata, 2 nikalemewa na taabu na huzuni. 1

Proverbs 5:22Matendo mabaya ya mtu mwovu humnasa yeye mwenyewe; 2 kamba za dhambi yake humkamata kwa nguvu. 1

Proverbs 14:27Kumcha Bwana ni chemchemi ya uzima, 2 ili kumwepusha mtu na mitego ya mauti. 1

Acts 2:24Lakini Mungu alimfufua kutoka kwa wafu akamwondolea uchungu wa mauti, kwa sababu haikuwezekana yeye kushikiliwa na nguvu za mauti.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Samweli 22:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Samweli 22:52 Samweli 222 Samweli 22:7 →