2 Samweli 23:7
Yeyote agusaye miiba 2 hutumia chombo cha chuma 2 au mpini wa mkuki, 2 nayo huchomwa pale ilipo.” 1 Mashujaa Wa Daudi (1 Nyakati 11:10-41)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Lakini watu waovu wote 2 watatupwa kando kama miiba, 2 ambayo haikusanywi kwa mkono. 1
Cross References
2 Samuel 22:8“Dunia ilitetemeka na kutikisika, 2 misingi ya mbingu ikatikisika, 1 vilitetemeka kwa sababu 2 alikuwa amekasirika. 1
Isaiah 27:4Mimi sijakasirika. 2 Licha pangekuwepo michongoma na miiba kunikabili! 2 Ningepambana dhidi yake katika vita, 2 ningeliichoma moto yote. 1
Matthew 13:42Nao watawatupa katika tanuru la moto ambako kutakuwa na kilio na kusaga meno.
Luke 19:27Lakini wale adui zangu ambao hawakutaka mimi niwe mfalme juu yao. Waleteni hapa mkawaue mbele yangu.’ ” 1 Yesu Aingia Yerusalemu Kwa Ushindi (Mathayo 21:1-11; Marko 11:1-11; Yohana 12:12-19)
2 Thessalonians 1:8Atawaadhibu wale wasiomjua Mungu na ambao hawakuitii Injili ya Bwana wetu Yesu.
Hebrews 6:8Lakini ardhi ikizaa miiba na mibaruti, haina thamani na iko hatarini ya kulaaniwa. Mwisho wake ni kuchomwa moto.