bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 3 › 2 Samweli 3:20
2 Samweli 3:20
Wakati Abneri aliyekuwa na watu ishirini pamoja naye, alipokuja kwa Daudi huko Hebroni, Daudi akamwandalia karamu pamoja na watu wake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
So Abner came to David to Hebron, and twenty men with him. And David made Abner and the men that were with him a feast.
In Context
19Pia Abneri mwenyewe akazungumza na kabila la Benyamini. Kisha akaenda mpaka Hebroni kumwambia Daudi kila kitu ambacho Israeli na nyumba yote ya Benyamini walichotaka kufanya.
21Ndipo Abneri akamwambia Daudi, “Niache niende mara moja nikakusanye Israeli yote kwa ajili ya mfalme bwana wangu, ili waweze kufanya mapatano na wewe, ili kwamba uweze kutawala juu ya yote yale ambayo moyo wako unaonea shauku.” Basi Daudi akamuaga Abneri, naye akaenda kwa amani. 1 Yoabu Amuua Abneri
Read all of 2 Samweli 3
Cross References
Genesis 26:30Basi Isaki akawaandalia karamu, nao wakala na kunywa.
1 Samuel 25:36Abigaili alipokwenda kwa Nabali, alikuwa ndani ya nyumba yake akifanya karamu kama ile ya mfalme. Naye alikuwa ana furaha nyingi, akiwa amelewa sana. Kwa hiyo Abigaili hakumwambia mumewe kitu chochote mpaka asubuhi yake.
This Verse In Other Editions
Study 2 Samweli 3:20