2 Samuel 3:21
Ndipo Abneri akamwambia Daudi, “Niache niende mara moja nikakusanye Israeli yote kwa ajili ya mfalme bwana wangu, ili waweze kufanya mapatano na wewe, ili kwamba uweze kutawala juu ya yote yale ambayo moyo wako unaonea shauku.” Basi Daudi akamuaga Abneri, naye akaenda kwa amani. 1 Yoabu Amuua Abneri
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Samuel 2:9Akamweka awe mfalme juu ya nchi ya Gileadi, Waasheri, + 2:9 Waasheri hapa ni kabila moja la Israeli. Yezreeli, Efraimu, Benyamini na Israeli yote.
2 Samuel 3:12Ndipo Abneri akatuma wajumbe kwa niaba yake kwa Daudi, kumwambia, “Nchi hii ni ya nani? Fanya mapatano na mimi, nami nitakusaidia kuiweka Israeli yote juu yako.”
Psalms 20:4Na akujalie haja ya moyo wako, 2 na aifanikishe mipango yako yote. 1