bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 3 › 2 Samweli 3:26
2 Samweli 3:26
Ndipo Yoabu akamwacha Daudi na kutuma wajumbe wamfuate Abneri, nao wakamrudisha kutoka kisima cha Sira. Lakini Daudi hakufahamu jambo hili.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And when Joab was come out from David, he sent messengers after Abner, which brought him again from the well of Sirah: but David knew it not.
In Context
25Wajua Abneri mwana wa Neri alikuja kukudanganya na kuchunguza nyendo zako na kupata kila kitu unachokifanya.”
27Basi Abneri aliporudi Hebroni, Yoabu akamchukua kando ndani ya lango, kama vile kuzungumza naye faraghani. Ili kulipiza kisasi damu ya nduguye Asaheli, Yoabu akamchoma mkuki tumboni palepale, naye akafa.
Read all of 2 Samweli 3
Cross References
Proverbs 26:23Kama rangi ingʼaayo iliyopakwa kwenye vyombo vya udongo 2 ndivyo ilivyo midomo laini pamoja na moyo mbaya. 1
This Verse In Other Editions
Study 2 Samweli 3:26