2 Samweli 7:14
Nitakuwa baba yake, naye atakuwa mwanangu. Atakapokosea nitamwadhibu kwa fimbo ya wanadamu, kwa adhabu ya kupigwa na wanadamu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 8:5Mjue basi ndani ya mioyo yenu kama mtu anavyomwadibisha mwanawe, ndivyo Bwana Mungu wako atawaadibisha ninyi.
1 Chronicles 28:6Aliniambia, ‘Solomoni mwanao ndiye atakayejenga nyumba yangu na nyua zangu, kwa maana nimemchagua yeye kuwa mwanangu, nami nitakuwa baba yake.
Psalms 2:7Nitatangaza amri ya Bwana: 2 Yeye aliniambia, “Wewe ni Mwanangu, 2 leo mimi nimekuzaa. 1
Psalms 89:27Nitamteua pia awe mzaliwa wangu wa kwanza, 2 aliyetukuka kuliko wafalme wote wa dunia. 1
Psalms 94:12Ee Bwana, heri mtu anayeadhibishwa na wewe, 2 mtu unayemfundisha kwa sheria yako, 1
Jeremiah 30:11Mimi niko pamoja nawe, nami nitakuokoa,’ 2 asema Bwana. 1 ‘Ingawa nitayaangamiza kabisa mataifa yote 2 ambamo miongoni mwao nimewatawanya, 2 sitawaangamiza ninyi kabisa. 1 Nitawaadhibu, lakini kwa haki. 2 Sitawaacha kabisa bila adhabu.’