2 Samweli 7:15
Lakini upendo wangu kamwe hautaondolewa kwake, kama nilivyouondoa kwa Sauli, niliyemwondoa atoke mbele yako.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But my mercy shall not depart away from him, as I took it from Saul, whom I put away before thee.
In Context
Cross References
1 Samuel 15:23Kwa maana kuasi ni kama dhambi ya uaguzi, 2 nao ukaidi ni kama uovu wa kuabudu sanamu. 1 Kwa sababu umelikataa neno la Bwana, 2 naye amekukataa wewe 2 kuendelea kuwa mfalme.”
1 Samuel 15:28Samweli akamwambia, “ Bwana ameurarua ufalme wa Israeli kutoka kwako leo, naye ameutia kwa mmoja wa majirani zako, aliye bora kuliko wewe.
1 Samuel 19:24Akavua majoho yake na pia akatoa unabii mbele ya Samweli. Akalala hali hiyo ule mchana kutwa na usiku kucha. Hii ndiyo sababu watu husema, “Je, Sauli pia yumo miongoni mwa manabii?”
2 Samuel 7:16Nyumba yako na ufalme wako utadumu milele mbele zangu, kiti chako cha enzi kitafanywa imara milele.’ ”
1 Kings 11:34“ ‘Lakini sitauondoa ufalme wote kutoka mikononi mwa Solomoni, nimemfanya mtawala siku zote za maisha yake kwa ajili ya Daudi mtumishi wangu, niliyemchagua na ambaye aliyatunza maagizo na amri zangu.
Psalms 89:31kama wakihalifu maagizo yangu 2 na kutoshika amri zangu, 1