The Bible Software
bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 7 › 2 Samweli 7:16

2 Samweli 7:16

Nyumba yako na ufalme wako utadumu milele mbele zangu, kiti chako cha enzi kitafanywa imara milele.’ ”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And thine house and thy kingdom shall be established for ever before thee: thy throne shall be established for ever.

In Context

15Lakini upendo wangu kamwe hautaondolewa kwake, kama nilivyouondoa kwa Sauli, niliyemwondoa atoke mbele yako.

17Nathani akamwarifu Daudi maneno yote ya maono haya. 1 Maombi Ya Daudi (1 Nyakati 17:16-27)

Read all of 2 Samweli 7

Cross References

Genesis 49:10Fimbo ya ufalme haitaondoka kwa Yuda, 2 wala fimbo ya mtawala kati ya miguu yake, 1 hadi aje yeye ambaye milki ni yake, 2 ambaye utii wa mataifa ni wake. 1

2 Samuel 22:51Humpa mfalme wake ushindi mkuu; 2 huonyesha fadhili zake kwa mpakwa mafuta wake, 2 kwa Daudi na wazao wake milele.”

2 Kings 8:19Hata hivyo, kwa ajili ya Daudi mtumishi wake, Bwana hakutaka kuiangamiza Yuda. Alikuwa ameahidi kuidumisha taa kwa ajili ya Daudi na wazao wake milele.

1 Chronicles 17:13Mimi nitakuwa baba yake, naye atakuwa mwanangu. Kamwe sitaondoa upendo wangu kwake, kama nilivyouondoa kwa yeye aliyekutangulia.

Job 36:7Yeye haondoi macho yake kwa wenye haki; 2 huwaketisha penye viti vya enzi pamoja na wafalme 2 na kuwatukuza milele. 1

Psalms 72:5Atadumu kama jua lidumuvyo, kama mwezi, vizazi vyote. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Samweli 7:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Samweli 7:152 Samweli 72 Samweli 7:17 →