Genesis 49:10
Fimbo ya ufalme haitaondoka kwa Yuda, 2 wala fimbo ya mtawala kati ya miguu yake, 1 hadi aje yeye ambaye milki ni yake, 2 ambaye utii wa mataifa ni wake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 21:18kuhusu kisima ambacho kilichimbwa na wakuu, 2 ambacho watu mashuhuri walikifukua, 2 watu mashuhuri wakiwa na fimbo za utawala na bakora.” Kisha wakatoka jangwani kwenda Matana,
Numbers 24:19Mtawala atakuja kutoka kwa Yakobo 2 na kuangamiza walionusurika katika mji.” 1 Ujumbe Wa Mwisho Wa Balaamu
2 Samuel 7:13Yeye ndiye atakayejenga nyumba kwa ajili ya Jina langu, nami nitaimarisha kiti cha enzi cha ufalme wake milele.
1 Chronicles 12:24watu wa Yuda, wanaochukua ngao na mikuki walikuwa 6,800 wote wakiwa tayari kwa vita. 1
Psalms 2:6“Nimemtawaza Mfalme wangu 2 juu ya Sayuni, mlima wangu mtakatifu.” 1 Ushindi Wa Mfalme 1
Psalms 60:9Ni nani atakayenipeleka hadi mji wenye ngome? 2 Ni nani atakayeniongoza hadi nifike Edomu? 1