2 Samuel 7:21
Kwa ajili ya neno lako na kwa mapenzi yako, umefanya jambo hili kubwa na kulifanya lijulikane na lifahamike kwa mtumishi wako.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
20“Je, Daudi aweza kukuambia nini zaidi? Kwa maana unamjua mtumishi wako, Ee Bwana Mwenyezi.
Cross References
Numbers 23:19Mungu si mtu, hata aseme uongo, 2 wala yeye si mwanadamu, hata ajute. 1 Je, anasema, kisha asitende? 2 Je, anaahidi, asitimize? 1
Joshua 23:14“Sasa mimi ninakaribia kwenda katika njia ya watu wote wa dunia. Mnajua kwa mioyo yenu na roho zenu kwamba hakuna ahadi zozote njema Bwana Mungu wenu alizowaahidia, ambazo hazikutimia. Kila ahadi imetimizwa, hakuna hata moja ambayo haikutimia.
Psalms 138:2Nitasujudu nikielekea Hekalu lako takatifu, 2 nami nitalisifu jina lako 1 kwa ajili ya upendo wako 2 na uaminifu, 1 kwa kuwa umelikuza jina lako na neno lako 2 juu ya vitu vyote. 1
Matthew 24:35Mbingu na nchi zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe. 1 Hakuna Ajuaye Siku Wala Saa (Marko 13:32-37; Luka 17:26-30, 34-36)
Luke 1:72ili kuonyesha rehema kwa baba zetu 2 na kukumbuka Agano lake takatifu, 1
Luke 12:32“Msiogope enyi kundi dogo, kwa maana Baba yenu ameona vyema kuwapa ninyi Ufalme.