Luke 1:72
ili kuonyesha rehema kwa baba zetu 2 na kukumbuka Agano lake takatifu, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
To perform the mercy promised to our fathers, and to remember his holy covenant;
In Context
71kwamba atatuokoa kutoka kwa adui zetu, 2 na kutoka mikononi mwao wote watuchukiao: 1
73kiapo alichomwapia baba yetu Abrahamu: 1
Cross References
Genesis 12:3Nitawabariki wale wanaokubariki, 2 na yeyote akulaaniye nitamlaani; 1 na kupitia kwako mataifa yote duniani 2 yatabarikiwa.”
Genesis 22:18na kupitia uzao wako mataifa yote duniani yatabarikiwa, kwa sababu umenitii.”
Genesis 28:14Uzao wako utakuwa kama mavumbi ya nchi, nawe utaenea upande wa magharibi na mashariki, kaskazini na kusini. Kupitia wewe na uzao wako mataifa yote ya duniani yatabarikiwa.
1 Chronicles 16:16agano alilolifanya na Abrahamu, 2 kiapo alichomwapia Isaki. 1
Psalms 105:8Hulikumbuka agano lake milele, 2 neno ambalo aliamuru, kwa vizazi elfu, 1
Psalms 111:5Huwapa chakula wale wanaomcha, 2 hulikumbuka agano lake milele. 1