The Bible Software
bible.softwareHesabuHesabu 6 › Hesabu 6:24

Hesabu 6:24

“ ‘ “ Bwana akubariki 2 na kukulinda; 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The LORD bless thee, and keep thee:

In Context

23“Mwambie Aroni na wanawe, ‘Hivi ndivyo mtakavyowabariki Waisraeli. Waambieni: 1

25Bwana akuangazie nuru ya uso wake 2 na kukufadhili; 1

Read all of Hesabu 6

Cross References

Deuteronomy 28:3Utabarikiwa mjini na utabarikiwa mashambani.

1 Samuel 2:9Yeye atailinda miguu ya watakatifu wake, 2 lakini waovu watanyamazishwa kwenye giza. 1 “Si kwa nguvu mtu hushinda; 2

Psalms 28:9Waokoe watu wako na uubariki urithi wako; 2 uwe mchungaji wao na uwabebe milele.

Psalms 121:4hakika, yeye alindaye Israeli 2 hatasinzia wala hatalala usingizi. 1

Psalms 134:3Naye Bwana, Muumba wa mbingu na dunia, 2 awabariki kutoka Sayuni.

Isaiah 42:6“Mimi, Bwana, nimekuita katika haki; 2 nitakushika mkono wako. 1 Nitakulinda na kukufanya 2 kuwa Agano kwa ajili ya watu 2 na nuru kwa Mataifa, 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Hesabu 6:24

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Hesabu 6:23Hesabu 6Hesabu 6:25 →