The Bible Software
bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 8 › 2 Samweli 8:14

2 Samweli 8:14

Akaweka kambi za askari walinzi katika Edomu yote, nao Waedomu wakawa chini ya Daudi. Bwana alimpatia Daudi ushindi kila alipokwenda. 1 Maafisa Wa Daudi

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he put garrisons in Edom; throughout all Edom put he garrisons, and all they of Edom became David’s servants. And the LORD preserved David whithersoever he went.

In Context

13Naye Daudi akapata sifa baada ya kurudi kutoka kuwaua Waedomu 18,000 katika Bonde la Chumvi.

15Daudi akatawala Israeli yote, akitenda lililo haki na sawa kwa watu wake wote.

Read all of 2 Samweli 8

Cross References

Genesis 25:23Bwana akamjibu, 1 “Mataifa mawili yamo tumboni mwako, 2 na mataifa hayo mawili 2 kutoka ndani yako watatenganishwa. 1 Mmoja atakuwa na nguvu zaidi kuliko mwingine, 2 na yule mkubwa atamtumikia yule mdogo.”

Genesis 27:37Isaki akamjibu Esau, “Nimemfanya yeye kuwa bwana juu yako, pia nimewafanya ndugu zako wote kuwa watumishi wake, nimemtegemeza kwa nafaka na divai mpya. Sasa nitaweza kukufanyia nini, mwanangu?”

Numbers 24:18Edomu itamilikiwa, 2 Seiri, adui wake, itamilikiwa, 2 lakini Israeli atakuwa na nguvu. 1

2 Samuel 7:9Nimekuwa pamoja nawe popote ulipokwenda, nami nimekuondolea mbali adui zako wote mbele yako. Basi nitalifanya jina lako kuwa kuu kama majina ya watu walio wakuu sana duniani.

1 Kings 11:15Huko nyuma wakati Daudi alipokuwa akipigana na Edomu, Yoabu jemadari wa jeshi, aliyekuwa amekwenda kuzika waliouawa, alikuwa amewaua wanaume wote waliokuwako Edomu.

1 Kings 22:48Wakati huu Yehoshafati akaunda merikebu nyingi za biashara + 22:48 Au: za Tarshishi (ona pia 1Fal 10:22; 2Nya 9:21; 20:36; Isa 2:16; 60:9 ). ili kwenda Ofiri kuchukua dhahabu, lakini kamwe hazikusafiri, kwa maana zilivunjika huko Esion-Geberi.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Samweli 8:14

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Samweli 8:132 Samweli 82 Samweli 8:15 →