The Bible Software
bible.softwareNumbersNumbers 24 › Numbers 24:18

Numbers 24:18

Edomu itamilikiwa, 2 Seiri, adui wake, itamilikiwa, 2 lakini Israeli atakuwa na nguvu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And Edom shall be a possession, Seir also shall be a possession for his enemies; and Israel shall do valiantly.

In Context

17“Namwona yeye, lakini si sasa; 2 namtazama yeye, lakini si karibu. 1 Nyota itatoka kwa Yakobo, 2 fimbo ya ufalme itainuka kutoka kwa Israeli. 1 Atawaponda Wamoabu vipaji vya nyuso 2 na mafuvu yote ya wana wa Shethi. 1

19Mtawala atakuja kutoka kwa Yakobo 2 na kuangamiza walionusurika katika mji.” 1 Ujumbe Wa Mwisho Wa Balaamu

Read all of Numbers 24

Cross References

Genesis 27:29Mataifa na yakutumikie 2 na mataifa yakusujudie. 1 Uwe bwana juu ya ndugu zako, 2 na wana wa mama yako wakusujudie. 1 Walaaniwe wale wakulaanio, 2 nao wale wakubarikio wabarikiwe.”

Genesis 32:3Yakobo akatuma wajumbe kumtangulia kwa Esau ndugu yake huko Seiri, katika nchi ya Edomu.

1 Kings 11:14Kisha Bwana akamwinua adui dhidi ya Solomoni, Hadadi, Mwedomu, kutoka ukoo wa ufalme wa Edomu.

Psalms 60:1Ee Mungu, umetukataa na kutokea ghafula juu yetu, 2 umekasirika: sasa turejeshe upya! 1

Isaiah 34:5Upanga wangu umekunywa na kushiba huko mbinguni, 2 tazama, unashuka katika hukumu juu ya Edomu, 1 wale watu ambao nimeshawahukumu, 2 kuwaangamiza kabisa. 1

Amos 9:12ili wapate kuyamiliki mabaki ya Edomu, 2 na mataifa yote yale yanayobeba Jina langu,” 4 asema Bwana ambaye atafanya mambo haya.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Numbers 24:18

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Numbers 24:17Numbers 24Numbers 24:19 →