2 Wathesalonike 3:13
Lakini ninyi ndugu, msichoke kutenda mema.
Biblia Takatifu
In The King James Version
But ye, brethren, be not weary in well doing.
In Context
Cross References
Romans 2:7Wale wanaozingatia kutenda mema, kutafuta utukufu na heshima ya Mungu na kutokufa, watapata uzima wa milele.
2 Corinthians 4:1Basi, Mungu, kwa huruma yake, ametukabidhi kazi hii na hivyo hatufi moyo.
Galatians 6:9Basi, tusichoke kutenda mema; maana tusipolegea tutavuna mavuno kwa wakati wake.