2 Timothy 1:2
Kwa Timotheo, mwanangu mpendwa: Neema, rehema na amani itokayo kwa Mungu Baba, na kwa Kristo Yesu Bwana wetu. 1 Shukrani Na Kutiwa Moyo
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Romans 1:7Kwa wote walioko Rumi wapendwao na Mungu na kuitwa kuwa watakatifu: Neema na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana wetu Yesu Kristo iwe nanyi. 1 Maombi Na Shukrani
Philippians 4:1Kwa hiyo, ndugu zangu, ninaowapenda na ambao ninawaonea shauku, ninyi mlio furaha yangu na taji yangu, hivi ndivyo iwapasavyo kusimama imara katika Bwana, ninyi wapenzi wangu. 1 Mausia
2 Timothy 2:1Basi, wewe mwanangu, uwe hodari katika neema iliyo ndani ya Kristo Yesu.