2 Timothy 2:1
Basi, wewe mwanangu, uwe hodari katika neema iliyo ndani ya Kristo Yesu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Thou therefore, my son, be strong in the grace that is in Christ Jesus.
In Context
Cross References
Joshua 1:7Uwe hodari na uwe na ushujaa mwingi. Uwe na bidii kutii sheria yote aliyokupa Mose mtumishi wangu, usiiache kwa kugeuka kuelekea kuume au kushoto, ili upate kufanikiwa popote uendako.
1 Corinthians 16:13Kesheni, simameni imara katika imani, fanyeni kiume, kuweni mashujaa kuweni hodari.
Ephesians 6:10Hatimaye, mzidi kuwa hodari katika Bwana na katika uweza wa nguvu zake.
1 Timothy 1:2Kwa Timotheo, mwanangu halisi katika imani: Neema, rehema na amani itokayo kwa Mungu Baba na kwa Kristo Yesu Bwana wetu. 1 Maonyo Dhidi Ya Walimu Wa Uongo
2 Timothy 1:2Kwa Timotheo, mwanangu mpendwa: Neema, rehema na amani itokayo kwa Mungu Baba, na kwa Kristo Yesu Bwana wetu. 1 Shukrani Na Kutiwa Moyo
2 Peter 3:18Bali kueni katika neema na katika kumjua Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo. Utukufu una yeye sasa na milele! Amen.